MAONYESHO YA MAKAMPUNI BUNGENI



Maonyesho ya makampuni Bungeni yaliyoandaliwa na EAG Group LTD yameendelea kwa mafanikio makubwa.  Maonyesho haya yanalengo la kutoa fursa kwa makampuni na wabunge kupata wasaa wa kubadilishana mawazo na kujua huduma zitolewazo na makampuni mbalimbali yaliyopo Tanzania. 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu ( Sera, Uratibu na Bunge) Mh William Lukuvi akipata maelezo toka kwa wafanyakazi wa Tigo.
Afisa Mtendaji Mkuu wa EAG Group akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Ummy Mwalimu alipotembelea maonyesho ya makampuni Bungeni.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu ( Sera, Uratibu na Bunge) Mh William Lukuvi akipata maelezo toka kwa wafanyakazi wa PSPF.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu ( Sera, Uratibu na Bunge) Mh William Lukuvi akipata maelezo toka kwa wafanyakazi wa TTCL.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu ( Sera, Uratibu na Bunge) Mh William Lukuvi akipata maelezo toka kwa wafanyakazi wa TTCL.
Previous Post Next Post