Kesho ndio siku yenyewe ambayo wasanii waliotajwa kuwania tuzo za mwaka huu za muziki wa Tanzania, Kilimanjaro Tanzania Music Awards, KTMA watajua hatma yao. Tuzo za Kili zitatolewa kesho June 8 kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Hizi ni picha za jinsi maandalizi ya jukwaa na ukumbi yalipofikia.

Mafundi wa TV itakayorusha matangazo live wakiweka sawa mitambo yao

Sound check

Haya ndiyo maandalizi yanayoendelea


Huu ndio Muonekano wa nje ya ukumbi huo Hapo Mlimani City
