SHEREHE ZA MEI MOSI ZILIVYONOGA UWANJA WA AMAAN, ZANZIBAR, LEO





Taswira mbalimbali za maandamano ya wafanyakazi wa sekta mbalimbali wakati wa sherehe za Mei Mosi uwanja wa Amaan mjini Zanzibar leo









 MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd akiyapokea maandamano ya siku ya Wafanyakazi Zanzibar yaliyofanyika katika uwanja wa Amaan mjini Zanzibar. 


 VIONGOZI mbali mbali wa Serikali na vyama vya wafanyakazi wakikamatana kuimba wimbo wa mshikamano katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi iliyofanyika katika uwanja wa Amaan leo.




























Previous Post Next Post