OMMY DIMPOZ AUSHUHUDIA LIVE UWANJANI "NOU CAMP MTANANGE WA BARCELONA NA REAL BETIS [PICHA]



Mkali wa Bongo Flava Ommy Dimpoz aliyepo ziarani barani Ulaya, jana ameishuhudia live uwanjani mechi ya Barcelona na Real Betis kwenye uwanja wa Nou Camp wa Barcelona.



photo




photo(1)


Katika mtanange huo, Barcelona ilishinda kwa bao 4-2.
Previous Post Next Post

Popular Items

Mrithi wa Kanumba anapika movie

MTOTO WA MIAKA TISA AJIFUNGUA MTOTO