Wasanii, wadau na wa muziki wa kizazi kipya pamoja na baadhi ya ndugu wa marehemu Albert Mangwea jioni ya leo wamekutana kwenye viwanja vya leaders Club jijini Dar es Salaam kwaajili ya kuchangishana fedha kusaidia shughuli za mazishi za rapper huyo aliyefariki jijini Johanessburg Afrika Kusini jana.

Jay Mo
Katika mkutano huo, kamati maalum imeundwa na inaongozwa na muongozaji wa video za muziki, Adam Juma, producer wa Bongo Records P-Funk Majani, Profesa Jay, Lady Jaydee, Jay Moe, Nooran na Maze B. Wengini ni pamoja na Mchizi Mox na TID. Pia Noorah amechaguliwa kuwa mweka hazina wa fedha hizo za mchango.


Producer Manecky

Profesa Jay

Q-Chief akisikiliza kwa makini

Lord Eyez

Sam Misago wa EATV (wa pili kutoka kushoto) akiwa na Shilole, Dj Tass wa Magic FM na rafiki

Afande Sele akiwa na shemeji yake

Barnaba na Snura wakizungumza jambo

Flaviana Matata akiwa na Barnaba

Noorah akikusanya michango

Madee

Cpwaa

Wasanii wakisikiliza jambo

Profesa Jay na Maze B wakimsikiliza mwenyekiti wa kamati, Adam Juma

Babu Tale

Lamar

Inspekta Haroun akihojiwa na Sam Misago wa EA Radio

Majani kwenye mkutano wa kamati

Mwenyekiti wa kamati Adam Juma akisisitiza jambo

Lady Jaydee (katikati) akisikiliza kwa makini





Romeo Jones

Noorah akisikiiza kwa makini

Maze na Profesa Jay

Mchizi Mox akichangia hoja




Jay Mo



P-Funk Majani


Angie

Lord Eyez

Joh Makini

Kala Jeremiah

Anna Peter wa EA Radio




Picha kwa hisani ya BONGO 5