MCHEKI WIZKID AKTIKA POZI TOFAUTI AKIWA NA GARI YAKE MPYA ALIYOINUNUA [PICHA]




Ni staa wa Nigeria anaetajwa pia kuwa na wafuasi wengi vijana, kazaliwa july 16 1989 ambapo kama ilivyo kwa wasanii wengi, na yeye alianzia kuimba kanisani akiwa na miaka 11 na baadae kujipa jina la Lil Prinz ambalo alilibadili mwaka 2006.

Pamoja na ajira yake ya usanii iliyomfanya kuwa karibu na mastaa wa dunia kama BustaRhymes na Wale, pesa yake pia inatokana na mlango wa dili mbalimbali uliofunguliwa kwake na makampuni makubwa kama Pepsi ambao amewahi kuonekana kwenye tangazo lao la TV.

Hii ni Porsche Panamera S ya mwaka 2013.

.
Previous Post Next Post