MAMA TUNU PINDA AMJULIA HALI MAJERUHI WA BODABODA ARUSHA





Mama Tunu Pinda akimpa pole Mzee Athumani Abdala (76) ambaye amevunjika miguu yake miwili kutokana na kugongwa na pikiki Mzee huyo amelazwa katika Hospitali ya Mkoa Arusha Maunt Meru Mama pnda alifika hospitalini hapo kuwajulia hali wahanga wa Bomu
Previous Post Next Post