HEMEDY NA MONALISA "ALL ABOUT ME" BEHIND THE SCENES [PICHA]



Picha hizi Chini ni baadhi ya picha za scenes zilizopigwa katika utengenezaji wa filamu mpya aliyoigiza Hemedy na Yvonne Cherry aka Monalisa iitwayo All About me.


Waigizaji wengine kwenye filamu hiyo ni pamoja na Deogratius Shija, Husna, Niva, Elizabeth, Mama tekla na wengine wengi. All About Me inaongozwa na Deogratius Shija.











Previous Post Next Post