FEZA KESSY, DEDY NA NISHER WAKO KATIKA LOCATION KUSHOOT VIDEO YA AMANI WA MOYO [PICHA]



Mrembo Feza Kessy aliyeingia kwenye muziki, wiki hii ameingia location kufanya video ya wimbo wake wa kwanza ‘Amani ya Moyo’.


Video hiyo inaongozwa na muongozaji na mtayarishaji wa video mwenye makazi yake jijini Arusha, Nisher.

Katika video hiyo, mkali wa dancehall nchini Deddy ataonekana kumpa shavu Feza.
Previous Post Next Post