BARCLAYS YATANGAZA WADHAMINI WA MATEMBEZI YA HISANI YA 'STEP AHEAD




Meneja

wa Mawasiliano na Huduma za Jamii wa Benki ya Barclays, Tunu Kavishe
(kushoto) akizungumza na waandishi wakati wa kutangaza wadhamini wa
Matembezi ya Hisani ya 'Step Ahead' ambayo yamelenga kukusanya fedha
kwaajili ya kusaidia afya ya mama na mtoto na yanataraji kufanyika Juni 8
mwaka huu jijini Dar es salaam. Pamoja na ni Meneja masoko wa benki
hiyo, Sara Munema.
Previous Post Next Post