WILL.I.AM AKUMBWA NA GONJWA




Will I am
Will.i.am kutoka kundi la Black Eyed Peas, amekiri kuwa amejijengea tabia ya kuhakikisha kila siku anatekeleza majukumu yake madogo na kitu cha pekee ambacho kinamsaidia kufanikisha hili ni muziki anaoufanya.

Will.i.am amesema tabia hii ambayo ameitafsiri kama ADHD – Attention Deficit Hyperactivity Disorder inamfanya mtu kutokutulia mahali pamoja na kuwa wakati wote katika kufikiria na kutekeleza mawazo mbalimbali.
Msanii huyu amesema kuwa, angekuwa nje ya muziki angekuwa ni mtu wa ajabu sana na asingeweza kufanya maisha kutokana na tabia yake hii ya ajabu.
Previous Post Next Post

Popular Items