STAA WA BASKETBALL KWENYE NBA AJITOKEZA NA KUKUBALI KUWA NI SHOGA





.

The Washington Wizards center Jason Collins mwenye umri wa miaka 34, amekubali kwamba anashiriki mapenzi ya jinsia moja ambapo Rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton ambae mtoto wake wa kike alisoma na Jason chuoni ameunga mkono kitendo cha Jason kujitangaza hadharani, mwingine aliempongeza Jason ni John Amaechi staa wa zamani wa NBA.

Jason anasema uamuzi wake utawashtua wengi kwa sababu japo yeye ni shoga, hakuwahi kuwa na dalili za kuonekana ambazo wanazo watu wengi wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja kama yeye.

.

.

.

.
Previous Post Next Post