SAFARI LAGER YASHEREHEKEA USHINDI WAKE NA WAHESHIMIWA WABUNGE MJINI DODOMA JANA USIKU


Mgeni Rasmi kwenye hafla ya Kupongeza Ushindi wa Bia Bora Barani Afrika ulioupata Bia ya Safari Lager,Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh. Anne Makinga (katikati) akiwa amenyanua juu moja ya vikombe vya ushindi huo ikiwa ni ishara ya kuzindua ziara Bia hiyo katika mikoa mbali mbali hapa nchini ili kuwaonyesha Watanzania ushindi huo.



Spika wa Bunge,Mh. Anne Makinga akitoa hotuba yake fupi kwa waheshimiwa Wabunge na Wageni waalikwa waliokuwepo kwenye hafla hiyo iliyofanyika usiku huu kwenye viwanja vya Bunge,Mjini Dodoma.

Mkurugenzi wa Miradi Maalum wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),Phocas Laswai akitoa hotuba yake mbele ya Mgeni Rasmi,Viongozi mbali mbali pamoja na wageni waalikwa waliohudhulia hafla hiyo iliyofanyika usiku huu kwenye Viwanja vya Bunge,Mjini Dodoma.

Meneja wa Bia ya Safari Lager,Oscar Shelukindo akiutambulisha Ujumbe wa TBL ulioambatana nae kwenye ziara hiyo.

Mpishi Mkuu wa Bia za TBL,Gaudence Mkolwe (kulia) akitoa ufafanuzi juu ya utaalam uliotumika kutengeneza Bia hiyo hadi kupelekea kuibuka na ushindi huo mkubwa Barani Afrika huku akisikilizwa kwa Makini na Mgeni Rasmi pakoja na Waheshiwa Mawaziri na Wabunge waliokuwepo kwenye hafla hiyo ya kupongeza ushiwa huo wa Bia Bora Afrika ulioupata Bia ya Safari Lager.

Tukio la Picha ya Pamoja.

Spika wa Bunge,Mh. Anne Makinda akiwa kwenye picha ya pamoja na Ujumbe wa TBL pamoja la vikombe vyao vya ushindi.

Waziri mpya wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi

Mh. Simbachawene

Waheshimiwa Wabunge wakifurahia Kombe hilo.

meza kuu.

Meneja wa Bia ya Safari Lager,Oscar Shelukindo akiwa katika Mazungumzo na Mh. Obama.

Mh. Obama (katikati) akimuuliza jambo Mpishi Mkuu wa Bia za TBL,Gaudence Mkolwe (aliesimama).







Waheshimiwa wakiwa kwenye hafla hiyo.





Wakati wa Chakula.


Waheshimiwa Wabunge.

Meneja wa Bia ya Safari Lager,Oscar Shelukindo (kushoto) akikabidhi zawadi Maalum kwa Mkurugenzi wa Miradi Maalum wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),Phocas Laswai tayari kwa kukabidhi wa Spika wa Bunge,Mh. Anne Makinda.



Waheshimiwa wakiburudika na kitambaa Cheupe toka Bendi ya Wazee Sugu,chini Mzee King Kikii.

Wadau

Warembo wa Safari Lager.

Moja kati ya MC wa shughuli hiyo,alikuwa ni Mdau Innocent Melleck.

Zawadi.
Previous Post Next Post