RIHANNA NA CHRIS BROWN KWELI WANAPENDANA! WAKUTWA WAKIWA PAMOJA KATIKA PICHA HIZI


Hivi   karibuni Mastaa wawili wenye Rihana na Cris Brown  waliandikwa kwamba baada ya kurudiana waligombana na kutemana kwa muda ila juzi wameonekana tena pamoja wakiwa shopping. angalia picha hizi


.

.

.

Hizi ni baadhi ya picha alizopost Rihanna kwenye fB, hizo tatu za juu ni kutoka kwa Necole Bitchie.
Previous Post Next Post