RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WAPYA IKULU JIJINI DAR LEO

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amepokea hati za utambulisho kutoka kwa mabalozi wanne wanaoziwakilisha nchi zao hapa.Walioziwasilisha hati zao ni pamoja na Balozi Mpya wa Morocco nchini Tanzania Mhe.Abdelilah Benryane, Balozi mpya wa Hungary Mhe.Sandoz Juhasz,Balozi mpya wa Austria Mhe. Christian Hasenbichler na Balozi Mpya wa Chille nchini Mhe.Konrad Paulsen.Pichani Balozi Mpya wa Morocco Mhe.Abdelilah Benryane akiwailisha hati zake za utambulisho kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.

Balozi Abdelilah Beryane wa Morocco.
Balozi mpya wa Hungary Sandoz Juhasz.
Balozi Mpya wa Austria nchini Tanzania Christian Hasenbichler.
Balozi Mpya wa Chile nchini Tanzania Konrad Paulsen.
Previous Post Next Post

Popular Items