MFAHAMU KWA UFUPI MSICHANA WA MIAKA 22 ALIEANDIKA HOTUBA YA USHINDI YA RAISI KENYATTA
byNews Tanzania-
0
Juliet Wang’ombe (Pichani). Mkenya, umri wake miaka 22 lakini tayari amejizolea sifa tele kwa kuandika hotuba ya ushindi (victory speech) ya Raisi Kenyatta. Juliet ni mwandishi wa poems (ushairi), anapenda kuandika nakuimba mashairi.