MCHEKI OMMY DIMPOZ ALIVYOWAPAGAWISHA MASHABIKI WA STOCHOLM,SWEDEN



Mashabiki wa hitmaker wa Me and You Ommy Dimpoz wa jijini Stockholm, Sweden Jumamosi iliyopita (April 27) walifanikiwa kupata burudani live ya wimbo huo na zingine.


Ommy Dimpoz ambaye ameongoza kwa kutajwa kwenye tuzo za Kili mwaka huu kwa nominations saba, yupo kwenye ziara ya barani Ulaya hadi May 20 mwaka huu.


Usiku wa kesho kuamkia May Mosi, Ommy atakuwa Oslo, Norway, ambapo atarudi tena kwenye jiji hilo May 10, tarehe 11 nchini Italia ikifuatia Gevena, Uswisi.


Previous Post Next Post