Wafanyakazi wa Kampuni ya ndege ya fastjet wakiwa na vifaa mbalimbali msaada wa wa kibinadamu ikiwa ni pamoja na vitabu vya shule, vinywaji na vyakula vilivyotolewa katika kituo cha watoto yatima cha CHAKUWAMA kilichopo Sinza Mori Kinondoni jijini Dar es salaam wakati wa pasaka, vifaa hivyo vilipokelewa na Hassan Khamis katikati Katibu wa CHAKUWAMA(aliyevaa shati la bluu)