(AUDIO) D’BANJ FT KANYE WEST – SCAPE GOAT

Dbanj-and-Kanye-West
Colabo kati ya nyota Kanye West na msanii D’Banj wa Nigeria imekuwa yenye mafanikio makubwa baada ya wakali hao kutoa kibao chao cha pamoja ambacho kimeanza kuwa gumzo mitandaoni kiitwacho ‘Scape Goat’ The REMIX.



D’Banj aliyesainishwa katika label yake Kanye West iitwayo G.O.O.D music wanaandaa bonge moja la tamasha la siku ya kuzaliwa ambapo licha ya kutumbuiza wanatarajia pia kuachia albamu kwa wakati mmoja.


NEWS VIA: BABKUBWAMAGAZINE.COM
Previous Post Next Post