WAZIRI WA UTALII ZAMBIA ATEMBELEA BANDA LA TANZANIA MAONYESHO YA (ITB) BERLIN


2
Waziri wa Wizara ya  Utalii na Utamaduni wa Zambia Mh. Sylvia Masebo kipokea zawadi  kutoka kwa Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Dk. Aloyce Nzuki  Mara baada ya kutembelea katika banda la Tanzania na kukutana na viongozi Kadhaa wa Wizara ya Maliasili na Utalii na kufanya nao mazungumzo kuhusiano na ushirikiano kati ya Zambia na Tanzania katika masuala ya Utalii Bodi ya Utalii Tanzania inaongoza ujumbe wa Wafanyabiashara ya Utalii zaidi ya 43 kutoka nchini Tanzania katika maonyesho ya dunia ya (ITB) yanayofanyika kwenye jengo la Mense Berlin jijini Berlin Ujerumani

6
Waziri wa Wizara ya  Utalii na Utamaduni wa Zambia Mh. Sylvia Masebo akisikiliza kwa makini wakati Mkurugenzi wa Utalii Wizara ya Maliasili na Utalii Bw.  Ibrahim Mussa  akizungmuza wakati waziri huyo alipotembelea banda la Tanzania katika maonyesho ya (ITB) jijini Baerlin jana katikati ni Katikati ni Balozi Chiti Balozi wa Zambia nchini Ujerumani
1
Waziri wa Wizara ya  Utalii na Utamaduni wa Zambia Mh. Sylvia Masebo akiagana na Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania(TTB) mara baada ya kutembelea banda la Tanzania katika maonyesho hayo jijini Berlin Ujerumani5
Waziri wa Wizara ya  Utalii na Utamaduni wa Zambia Mh. Sylvia Masebo akimueleza jambo Mkurugenzi wa Utalii Wizara ya Maliasili na Utalii Ibrahim Mussa Katikati ni Balozi Chiti anayewakilisha nchi hiyo nchini Ujerumani4
Dk Wegoro Nyamajeje kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) akimuelezea jambo Waziri wa Wizara ya  Utalii na Utamaduni wa Zambia Mh. Sylvia Masebo kulia wakati waziri huyo alipotembelea katika banda la Tanzania katikati ni Balozi Chiti na Ibrahim Mussa Mkurugenzi wa Utalii Wizara ya Maliasili na Utalii8
Kutoka kulia Balozi wa Kenya nchini Ujerumani Keni Nyauncho Osinde na Balozi Ruth Solitei Katibu Mkuu Wizara ya Utalii Kenya  wakimsikiliza Dk Wegoro Nyamajeje kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)  wa pili kutoka kushono ni Mkurugenzi wa Utalii Wizara ya Maliasili  Ibrahim Mussa na Dk. Aloyce Nzuki  Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB)9
Balozi Ruth Solitei Katibu Mkuu Wizara ya Utalii Kenya kulia akiwa na Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii (TTB)  Dk. Aloyce Nzuki wakati alipotembelea banda la Tanzania.7Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii (TTB)  Dk. Aloyce Nzuki  wa pili kutoka kulia akiwa na maafisa kutoka TANAPA kulia ni John Gara na kutoka kulia ni Maurus Ngairo Ofisa kutoka Mamlaka ya Ngorongoro na Fhadhil Kimambo kutoka (TANAPA)14
Meneja Masoko wa Bodi ya Utalii (TTB) Geofrey Meena akizungumza na wageni waliotembelea katika banda la Tanzania 15
Kulia ni Aileen Mallya na kushoto ni Brenda Mugambi na katikati ni Jane Mbuya maofisa kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wakiwa katika maonyesho hayo leo watakuwa na tukio la kuzungumzia utalii wa nchi za Afrika Mashariki wa wageni mbalimbali waliofika katika maonyesho hayo ya (ITB) Berlin.
Previous Post Next Post