Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Waziri mkuu wa Denmark Mhe.Helle Thorning-Schmidt muda mfupi baaday kuwasili katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam ambapo alipokea maua,kukagua gwaride na kungalia ngoma za utamaduni (picha zote na Freddy Maro)
Waziri mkuu wa Denmark Mhe.Helle Thorning-Schmidt akikagua gwaride maalum ngoma za asili mara baada ya kuwasili nchini jana
Waziri mkuu wa Denmark Mhe.Helle Thorning-Schmidt akiangalia ngoma za asili mara baada ya kuwasili nchini leo