
Kamati iliyoandaa shughuli hii,Kushoto ni mwenyekiti wa Kikundi Haika Lawere na kushoto ni Makamu mwenyekiti-Naomi Kaspar wakiwa na mgeni rasmi mwisho kabisa kushoto ni Angela Msangi, katika shughuli zao kwenye hafla ya siku ya Mwanamke iliyofanyika kwenye hoteli ya Mbezi Garden jijini Dar es salaam




Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Mh Angella Kairuki,Naibu waziri wa katiba na sheria akizungumza na wajasiriamali na kuwatia moyo katika shughuli zao kwenye hafla ya siku ya Mwanamke iliyofanyika kwenye hoteli ya Mbezi Garden jijini Dar es salaam 

Watoa mada katika siku hiyo,kutoka kulia ni Mr. Zeno Ngowi(Marketing consultant),Alloyce Mtukamazina(Director of Marketing,GEPF) na wa mwisho kushoto Mr Andrew Peter Kato(Real estate management consultant)

Tags:
Business