HomePolitics WAKENYA WAENDELEA KUPIGA KURA KWA WINGI byNews Tanzania -Tuesday, March 05, 2013 0 Mwandishi Hassan Mhelela aliyeko Nairobi anasema misururu ni mirefu sana,na wengine wamefika hapo tangia saa 10 alfajiri.anasema uwezekano wa kupiga kura wote kabla ya saa 11 ni sifuri.hii ni sehemu moja tu Moi avenui Tags: Politics Facebook Twitter