VODACOM WALIVYOSHEREHEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI


 
 Baadhi ya wanawake wanaofanya kazi katika kampuni ya mawasiliano ya Vodacom wakiwa kwenye pozi wakati wa kusherehekea sikukuu ya wanawake duniani.


Mvua haizuii sherehe yetu ya wanawake duniani tumo tu...
What can I say?Msosi muhimu
Kujichana nako muhimu,baba nae yumo Mwakifulefule ndani ya sikukuu ya wanawake duniani kwa wafanyakazi wa Vodacom.
Kata cake tuleeeeee kata cake tuleeeeeeeeeee!walisikika wakina mama wakati wa kusherehekea sikukuu ya wanawake duniani kwa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania.
Mama Victor ambae ni mtoa mada wa siku hii ya wanawake duniani akiongea na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania.
 Nakuambiaaa...
Mamaaaa weweee!Siku ya ukweli ya kusherehekea sikukuu ya wanawake duniani kwa wafanyakazi wa Vodacom.
Poz to Pozzzzzz wakati wa kusherehekea sikukuu ya wanawake duniani kwa wafanyakazi wa Vodacom.
Dr.Mweta katoa poz balaaaa wakati wa kusherehekea sikukuu ya wanawake duniani kwa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania utamtaka!
Wanawake wanaofanya kazi katika kampuni ya mawasiliano ya Vodacom wakibadilishana mawazo wakati wa kusherehekea sikukuu ya wanawake duniani.
Mambo ya kukata viunoooooo
Majadiliano ya hapa na pale wakati wa sikukuu ya wanawake duniani kwa wafanyakazi wa Vodacom.
Previous Post Next Post