UZINDUZI NA KUSAINI MRADI WA WAKULIMA WADOGO


000000lllll f1a5c
Mratibu wa Mtandao wa wakulima wadogowadogo katika nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika
(ESAFF) Bw. Joseph Mzinga akieleza juu ya mradiwa INVOLVE”
2 ff364Wageni waalikwa wakiwa meza kuu tayari kwa uzinduzi wa “INVOLVE”

3 78fe8
Wajumbe waliohudhuria uzinduzi wa mradi wa “INVOLVE” wakiwa katika picha ya pamoja
4 40f1d
Mwanamuziki mkongwe Mzee kassimu Mapili wa Mjomba Band akitumbuiza katika uzinduzi huo
jana.
5 1a6cc
Uzinduzi rasmi ambao umefanywa na Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya afrika Mashariki Bw. Uledi
Mussa na Mwakilishi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania Bw. Gianluca Azzoni

Uzinduzi wa mradi “INVOLVE” kwa ajili ya kuimarisha ushiriki wa wakulima wadogo kwenye mijadala
ya ki-sera na ufuatiliaji ili kuboresha uhakika wa chakula Afrika Mashariki. Uzinduzi huo umefanywa na
Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya Afrika Mashariki Bw. Uledi Mussa na Mwakilishi wa Umoja wa Ulaya
nchini Tanzania Bw. Gianluca Azzoni
Mradi wa “INVOLVE” unafadhiliwa na Umoja wa Ulaya, Oxfam na Brot, na utekelezwa na Mtandao wa
wakulima wadogowadogo katika nchini za mashariki na kusini mwa Afrika (ESAFF), Asasi ya GRET ya
Ufaransa na Muungano wa Vikundi vya Wakulima Tanzania (MVIWATA)
Previous Post Next Post