UVCCM WAENDELEA NA ZIARA MOROGORO


MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa, Sadifa Juma Hamis akihutubia mkutano wa hadhara katika Uwanja wa shule ya msingi Mkwajuni, Kata ya Kichangani mkoani Morogoro  Machi 3, 2013, ikiwa ni mwisho wa ziara ya siku tatu ya Viongozi wa Jumuia hiyo, kukagua na kuimarisha uhai wa Chama na UVCCM. (Picha na Bashir Nkoromo)
Previous Post Next Post

Popular Items