SEMINA YA TEKNOLOJIA YAFANYIKA DAR ES SALAAM


 Rais wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya ISACA Tawi la Tanzania, Boniface Kanemba akifafanua jambo wakati wa semina kuhusu teknolojia ya mawasiliano na Utawala Bora vinavyoweza kuchangia maendeleo ya uchumi na kufanyika jijini Dar es Salaam. Semina hiyo iliandaliwa na ISACA Tanzania kwa kushirikiana na Taasisi ya Norway Registers Development. 

 Baadhi ya washiruiki wa Semina hiyo kutoka katika taasisi za Fedha
 Rais wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya ISACA tawi la Tanzania, Boniface Kanemba  akitoa mada katika semina hiyo.
 Washiriki wa semina.
 Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Norway Registers Development (NRD), Jon Birger F Jalestand amkitoa mada katika semina hiyo.

 Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Norway Registers Development (NRD), Jon Birger F Jalestand amkitoa mada katika semina hiyo.
Rais wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya ISACA tawi la Tanzania, Boniface Kanemba akizungumza na waandishi wa habari kuhusu teknolojia ya mawasiliano na Utawala Bora vinavyoweza kuchangia maendeleo ya uchumi na kufanyika jijini Dar es Salaam. Semina hiyo iliandaliwa na ISACA Tanzania kwa kushirikiana na Taasisi ya Norway Registers Development. (NRD)
Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA