RAISI JAKAYA KIKWETE AANDAA DHIFA YA TAIFA KWA HESHIMA YA RAISI XI-JINPING WA CHINA

8E9U1655
Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete wakigonganisha Glasi na Rais Xi Jinping wa China wkati wa dhifa ya kitaifa iliyofanyika ikulu jijini Dar Es Salaam jana jioni.Rais Xi Jinping wa China yupo nchini kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.Ni ziara yake ya kwanza barani Afrika tangu achaguliwe kuliongoza taifa la China hivi karibuni na Tanzania inakuwa nchi ya kwanza kuitembelea barani Afrika
Previous Post Next Post

Popular Items