RAIS DK. SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA MCC IKULU.



IMG_1202
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mkuu wa Utumishi wa MCC Bw.Steve Kaufmann,akiongoza ujumbe wa viongozi wa MCC waliofika Ikulu MjiniZanzibar kwa mazungumzo na Rais jana.
IMG_1238
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na Mkuu wa Utumishi wa MCC
Bw.Steve Kaufmann,kiongoza ujumbe wa viongozi wa MCC waliofika Ikulu
Mjini Zanzibar baada ya  mazungumzo na Rais jana.


[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA