BODI YA TAIFA YA URATIBU WA NGOS YAFANYA ZIARA MWANZA


 

2005-02-07 04.12.59
Mkrugenzi wa shirika la NGOs akiwaeleza wajumbe namna shirika lake linavyofanya kazi  katika ziara ya wajumbe wa Bodi ya Taifa ya Uratibu Mashirika Yasiyo ya Kiserikali walipotembelea shughuli za NGOs Mkoani mwanza mara baada ya kufanya kikao.

2005-02-07 22.21.36Wajumbe wa Bodi katika picha ya pamoja na Viongozi wa Chawata Mwanza. 2005-02-08 01.39.09Katibu na Msajili wa NGOs Bw. Marcel Katemba akifafanua jambo wakati wa mkutano wa Bodi na wadau wa NGOs 2005-02-08 01.40.53Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya NGOs Bibi Rukia Masasi akieleza jambo wakati wa mkutano na wadau wa NGOs Mwanza. 2005-02-08 03.24.03
Mjumbe wa Bodi ya Taifa ya NGOs Dr. Aisha Kigoda akiongea na wadau wa NGOs wakati wa mkutano
Previous Post Next Post

Popular Items

Kenya katika hatari ya kupata Ebola

Picha: Soggy Doggy Aongeza Familia