
Wakazi and the girls.
Shooting ilichukua siku mbili kwenye sehemu mbalimbali huko Chicago Marekani ambapo inatarajiwa kutoka ndani ya wiki kadhaa zijazo, hii ni kolabo single ya Reezon kutoka Ghana lakini kamshirikisha Wakazi kutoka Tanzania na Chibbz kutoka Nigeria, beat imetengenezwa na Producer Mobeatz ambae pia anatoka Ghana.

Models

Day 1 Chibbz Performance

Day 1 Reezon Performance

Day 1 Wakazi behind the scenes.

Day 1 Wakazi Perfomance.

Day 2 Afrikan Kings Dancers at The Club Scene.

Day 2 at The Lounge

Day 2 Behind The Scenes

Day 2 Chibbz Club Performance

Day 2 The Gentlemen

Director, Brian and his Assistant

Ladies

Reezon

Wakazi & The Crew

Wakazi and a Model.

Wakazi x Reezon x Chibbz.
Also available on BongoSnaps
source @ Millardayo.com