MWAMVITA MAKAMBA AMJULIA HALI AMSALOM KIBANDA


 Mwanvita Makamba, akiwa katika Chumba alicholazwa Mhariri Mkuu Mtendaji, wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd,Absalom Kibanda, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, wakati alipomtembelea kumjulia hali katika Hospitali ya Milpark baada ya kufikishwa katika hospitali hiyo jana usiku nchini Afrika ya Kusini. 

Amsalom Kibanda, akiendelea na matibabu katika Chumba cha wagonjwa mahututi katika Hospitali hiyo.

Picha na Amani Tanzania Blog
Previous Post Next Post

Popular Items

Kenya katika hatari ya kupata Ebola

Picha: Soggy Doggy Aongeza Familia