MKURUGENZI MPYA WA FES YA UJERUMANI AJITAMBULISHA MAKAO MAKUU YA CCM



2MKURUGENZI Mkazi wa zamani wa Taasisi ya FES ya Ujerumani Dk. Stefan Chrobot (kushoto) na Mkurugenzi Mkazi mpya wa taasisi hiyo Rolf Paasch, wakizungumza na  Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Oganaizesheni, Dk. Muhammed Seif Khatib (kulia)  wakati Mkurugenzi wa zamani anayemaliza mudu wake alipofika kumtambulisha mwenzake mpya, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, Machi 5, 2013. 

1KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Oganaizesheni, Muhammed Seif Khatib akimkaribisha Mkurugenzi Mkazi mpya wa Taasisi ya FES ya Ujerumani, Rolf Paasch, wakati Mkurugenzi huyo na Mkurugenzi wa zamani wa Taasisi hiyo anayemaliza muda wake, Dk. Stefan Chrobot (kulia) walipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. 
3
MKURUGENZI Mkazi wa zamani wa Taasisi ya FES ya Ujerumani Dk. Stefan Chrobot (kulia) na Mkurugenzi Mkazi mpya wa taasisi hiyo Rolf Paasch (kushoto), wakiwa katika picha ya pamoja Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Oganaizesheni, Dk. Muhammed Seif Khatib (kulia)  wakati Mkurugenzi wa zamani anayemaliza mudu wake alipofika kumtambulisha mwenzake mpya, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo, Machi 5, 2013..
Previous Post Next Post