KASEBA AMTWANGA MANENO OSWALD


Bondia Maneno Osward kushoto akipambana na Japhert Kaseba wakati wa mpamba
 no wao wa ubingwa wa taifa uliofanyika jumamosi katika ukumbi wa DDC Magomeni Kondoa Kaseba alishinda kwa point mpambano huo
Bondia Japhert Kaseba kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na Maneno Osward wakati wa mpambano wao wa kugombea ubingwa wa taifa Kaseba alishinda kwa point

Bondia Japhert Kaseba kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na Maneno Osward wakati wa mpambano wao wa kugombea ubingwa wa taifa Kaseba alishinda kwa point

Bondia Japhert Kaseba akinyooshwa mkono juu na refarii Antoni Ruta baada ya kuibuka mshindi kwa kumgalagaza Maneno Osward 
Bondia Aliphonce Mchumiatumbo kushoto akioneshgana uwezo wa kutupiana masumbwi na Josephe Marwa mpambano wa uzito wa juu uliofanika jumamosi Mchumiatumbo alishinda kwa K,O raundi ya siti

Bondia Putile Gama kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na Tom Kato kutoka Japani anaeishi mjini Bagamoyo Kato alishinda kwa K,O raundi ya pili

Bondia Aliphonce Mchumiatumbo kushoto akioneshgana uwezo wa kutupiana masumbwi na Josephe Marwa mpambano wa uzito wa juu uliofanika jumamosi Mchumiatumbo alishinda kwa K,O raundi ya sita.

Bondia Tom Kato kulia  kutoka Japani anaeishi mjini Bagamoyo akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na Putile Gama Kato alishinda kwa K,O raundi ya pili 
Previous Post Next Post