
Saa saba na nusu.

Kesi ikiendelea.

.

.

.

.

.

Akishushwa kuingia kwenye karandinga la magereza wakati huo Wema Sepetu, Dr Cheni, Zamaradi Mketema, Petit Man na wengine walikimbia kwenye kuchukua pesa za faini benki.

Producer Lamar alikuepo.

.

Mfuko wa pesa zenyewe baada ya kwenda kuchukuliwa benki.

Lulu alikuepo pia.

.

Kajala akielekea kwenye garila magereza tayari kwa kurudishwa.

.

Watu wakisubiri kama Kajala ataachiwa manake wakati huu pesa zilikua zimeshapatikana.

Wema Sepetu akiongea na waandishi wa habari.

.

Kajala baada ya kuachiwa huru.

.

Kajala na mama mzazi.

.

.

.

Pamoja na kwamba Wema ndio kalipa hela ya faini, hili gari lake pia ndio lilitumika kumchukua Kajala Mahakamani na kumpeleka nyumbani.
ALL PICTURE KWA HISANI YA: MILLARD AYO.COM