Hakuna ubishi kuwa Diddy sio rapper mwenye uwezo wa kushtua lakini anajua kutengeneza mshiko. Ni mjasiriamali wa muziki na ndio maana mwaka huu ameongoza list ya jarida la Forbes la wana Hip Hop wenye mkwanja mrefu zaidi.
Huyu ni master mwingine wa kutengeneza brand na zikafanya vizuri. Pesa nyingi aliyonayo inatokana na mauzo ya muziki wake, michongo mbalimbali video games na vitabu. Pia hisa alizonazo kwenye brand kama VitaminWater na mauzo ya headphones zake, SMS Audio.
Kwa mujibu wa ‘Forbes Five’ orodha ya wasanii wa hip hop wenye mkwanja zaidi, Diddy ambaye ni mwanzilishi wa Bad Boy Records ana utajiri ufikao dola milioni 580. Utajiri wake unatokana na nini? Fedha nyingi inatokana na biashara yake nje ya muziki kama deal la kilevi maarufu cha Ciroc na biashara zingine kibao. | ||
|