
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi alipowasili katika viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi
akiwa katika ziara ya Mkoa huo iliyoanza juzi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na wafanyakazi katika Ofisi ya Mkuu
wa Mkoa Mjini Magharibi alipofanya ziara ya Mkoa huo iliyoanza
jana.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

Baadhi ya Viongozi na watendaji wa Idara mbali mbali za
Ofisi za Serikali wakiwa katika ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa
Mkoa wa Mjini Magharibi,katika mkutano na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa
katika ziara ya Mkoa huo iliyoanza jana.[ [Picha na Ramadhan Othman

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akionesha zawadi aliyopewa na Mkuu wa Mkoa
Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis,(katikati) alipofika Ofisini
kwake akiwa katika ziara ya Mkoa huo iliyoanza jana ,(kushoto) Mkuu wa
Wilaya Mjini Abdi Mahmoud Mzee, [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.] 

Pichani Ujenzi Skuli ya Sekondari ya Wilaya huko
Mpendae Mjini Zanzibar ukiendelea katika Mkoa wa Mjini Magharibi
,ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein,alitembelea ujenzi huo akiwa katika ziara ya Mkoa huo
iliyoanza jana. [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.] 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akipata maelezo ya Ujenzi kutoka kwa Mhandisi wa Ujenzi wa
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Iddi Khatib,alipotembelea kukagua
Ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Wilaya huko Mpendae Mjini
Zanzibar,akiwa katika ziara ya mkoa Mjini Magharibui iliyoanza jana.
[Picha na Ramadhan Othman,IKulu. ] 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka Mkurugenzi Mkuu
wa Mamlaka ya Maji (ZAWA) DK.Mustafa Ali Garu,alipofika Chumbuni
Kuangalia mradi uchimbaji wa kisima cha Maji katika eneo hilo akiwa
katika ziara ya Mkoa wa Mjini Magharibi iliyoanza jana.[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.] 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na wananchi na wazee wa
Chumbuni Wilaya ya Mjini Mkoa Mjini Magharibi, alipofungua kituo cha
Mafunzo ya Kazi za Amali,akiwa katika ziara Mkoa huo,(kulia) Naibu
waziri wa Ulinzi Perera Ame Silima,na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Abadala
Mwinyi Khamis,na (kushoto)Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Mwinyihaji Makame .[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.] 

Meneja Mkuu wa Shirika la Umeme Hassan Ali
Mbarouk,(kulia) akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,wakati alipotembelea kituo
kipya cha Umeme huko Welezo alipokuwa katika ziara ya Mkoa wa Mjini
Magharibi iliyoanza jana.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akibadilishana mawazo na Meneja Mkuu wa
Shirika la Umeme Hassan Ali Mbarouk,(wa pili kushoto) wakati
alipotembelea kituo kipya cha Umeme huko Welezo alipokuwa katika ziara
ya Mkoa wa Mjini Magharibi iliyoanza jana.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]