BAADA YA KUUGUA, HII NDIO VIDEO YA KWANZA YA LIL WYNE AKIONGEA


Rapper Lil Wyne ambae ameingia kwenye headlines wiki hii kutokana na taarifa za kuzidiwa kwake na kulazwa hospitali ikidaiwa anaugua degedege, amejitokeza kwa mara ya kwanza kwenye video akiongea kuhusu tour yake na T.I ambapo kabla ya kuanza kuizungumzia aliwashukuru fans wake kwa maombi wakati akiwa hospitali.

Previous Post Next Post

Popular Items