YALIYOJIRI ZANZIBAR KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA


IMG_8840
 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akionesha jarida la Mahakama baada ya kulizindua wakati wa sherehe za maadhimisho ya kilele cha Siku ya Sheria Zanzibar,zilizofanyika jana,katika viwanja vya Victoria garden Mjini Zanzibar,(kushoto), Kaimu  Waziri wa Katiba na Sheria,pia Biashara Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui,na (kulia) Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu.    [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

IMG_8888
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Wananchi na wanasheria  wakati wa
sherehe za maadhimisho ya kilele cha Siku ya Sheria
Zanzibar,zilizofanyika jana,katika viwanja vya Victoria garden Mjini
Zanzibar,(kushoto), Kaimu  Waziri wa Katiba na Sheria,pia Biashara
Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui,na (kulia) Jaji Mkuu wa Zanzibar
Omar Othman Makungu.   [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

IMG_8675
Kikundi cha Wasanii kutoka Mafunzo wakiburudisha wakati
wa maadhimisho ya Siku ya Sheria zanzibar,ambapo kauli mbiu
“Kutokomeza Unyanyasaji Kijinsia”,katika uwanja wa Bustani ya Victoria
Garden jana.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

IMG_8693 
Viongozi wa Dini mbali mbali na Majaji wa Mkoa
wakisikiliza kwa makini hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,aliyoitoa jana katika kilele
cha maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar,katika Uwanja wa bustani ya
Victoria Garden.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

IMG_8712 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akifuatana na Jaji Mkuu wa Zanzibar
Omar Othman Makungu,(kushoto) na Kaimu Waziri wa Katiba na Sheria pia
Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui,alipowasili
katika viwanja vya Victoria Garden,katika Maadhimisho ya  Siku ya
Sheria Zanzibar,zilizofanyika jana.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

IMG_8718
Viongozi wakisimama wakati wimbo wa Taifa wa Zanzibar
ukipigwa na Brass band kikosi cha polisi katika sherehe za maadhimisho
ya Siku ya Sheria Zanzibar.mara alipowasili Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwa ndio
mgeni rasmi katika hafla hiyo,iliyofanyika viwanja vya Victoria garden
Mjini Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

IMG_8758 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa tatu kushoto) Jaji Kiongozi wa
Serikali ya Jamhuri ya Muungano Fakih Jundu,(kutoka kushoto) na Kaimu
Waziri wa Katiba na Sheria,pia Biashara Viwanda na Masoko Nassor Ahmed
Mazrui,(kutoka kulia) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi
khamis,Spika wa baraza la Wawakilishi Pandu Ameir Kificho na Jaji Mkuu
wa Zanzibar Omar Othman Makungu,wakiangalia Kikundi cha wasanii cha
Black Roots kilipokua kikitumbuiza katika kilele cha Siku ya Sheria
jana. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

IMG_8800Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar Ibrahim
Mzee,alipokuwa akizungumza wakati wa sherehe za maadhimisho ya kilele
cha Siku ya Sheria Zanzibar,zilizofanyika jana,katika viwanja vya
Victoria garden Mjini Zanzibar,ambapo ujumbe wa mwaka huu unasema
“Kutokomeza Unyanyasaji Kijinsia”.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Previous Post Next Post