WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AFANYA MAZUNGUMZO NA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI KUTOKA SWEDEN


Waziri Mkuu wa Tanzania Mh. Mizengo Pinda akifurahia jambo wakati wa mazungumzo na Mdhibiti na Mkaguzi  Mkuu wa Hesabu za Serikali Bw. Ludovick Utouh (kushoto) na Mkaguzi  Mkuu  wa hesabu za Serikali wa Sweden  Jan Lindahr Hjelmaker. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Previous Post Next Post