MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA, TANGAZO KWA UMMA
KITENGO CHA HUDUMA KWA WATEJA
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inapenda kuwatangazia Wateja na Watumiaji wote wa Bandari kwamba imeanzisha Kitengo Maalum cha Huduma kwa Wateja kitakachopokea malalamiko, kero, taarifa, maoni, ushauri juu ya
huduma mbalimbali zinazotolewa na Mamlaka.
Kuanzishwa kwa Kitengo hiki ni moja kati ya Mikakati ya Mamlaka ya kuboresha huduma zake na kuondoa kero kwa Wateja na Watumiaji wa Bandari.
Kwa huduma ya haraka tafadhali piga namba zifuatazo;
0754 292998
0756 849868
0788 888801
0789 334398
Namba hizi pia zinapatikana kwenye mtandao wa TPA www.tanzaniaports.com
MENEJIMENTI