Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Makamu wa Rais Mstaafu wa Benki ya Dunia, Bwana Justin Yifu Lin, Ijumaa, Februari mosi, 2013 Ikulu, Dar es Salaam. Kulia ni Balozi wa China katika Tanzania Mheshimiwa Lu Youqing.