Hii ndio gari aliyokuwa akiendesha Msanii Ney wa Mitego, alipata nayo ajali wakati akitokea Coco Beach Kutizama Mpira na kwa Mujibu wa yeye mwenyewe anasema kuwa aligongana na roli kubwa na mara baada ya roli hilo kumgonga lilikimbia kusikojulikana. Yeye Mwenyewe akuumia kokote ila mtu aliyekuwa naye ambaye ni rafiki wake wa akaribu aliumia maeneo ya kichwani

Tags:
celebrity News

