Ndg. Selemani Mbuma aliepata ajali mbaya ya Umeme hiv ikaribuni bado yuhai akiendelea na matibabu katika Hospitali ya Rufaa Iringa word namba 9 Pichani mkewe Bi Haule akishirikiana na wauguzi kumuhudumia mume wake Ndugu huyu anahitaji msaada zaidi wamtibabu kulingana na hali alionayo baadaya ajali.