MH: PINDA AKUTANA NA MKURUGENZI WA WFP NA UJUMBE WABUNGE WA UJERUMANI


IMG_0011 1 copy
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mkurugenzi  Mtendaji  wa Mpango wa Chakula  Duniani (WFP), Bibi Ertharin Cousin Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 13, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMG_2109
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Bajeti ya bunge la Ujerumani walipomtembelea, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 13, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

IMG_2125
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Bajeti ya bunge la Ujerumani baada ya kuzungumza nao, Ofisini kwake Februari 13, 2012.Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi. (PIcha na Ofisi yaWaziri Mkuu)
Previous Post Next Post

Popular Items

Music: Nikki Mbishi - Utamwambia nini

Magazetini Leo Ijumaa ya Tarehe 20/9/2013