Umati uhu wa watu ukishuudia ajali iyo iliyotokea jana maeneo ya kibamba
Dereva wa gari hilo alifariki mara baada ya ajali iyo kutokea.
tazama picha zingine hapa chini
Mwili wa Marehemu Dereva kwa Mbele ukiwa Umekandamizwa na Lori lililo beba Mbao izo.
Huu ni Mguu wa Dereva ambaye amekandamizwa na Gari hilo.
Hivi Ndivyo Gari hili lililo beba Mbao limeanguka .