Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Amos Makalla akijibu hoja ya Wizara ya Mbunge Yussuf Haji Kahamis ( Nugwi ) hayupo pichani, kuhusu Serikali ina mikakati gani kwa wanamichezo wetu juu ya ugunjwa wa moyo, ambao ni tishio kubwa kwa maisha yao jana Bungeni- Dodoma.
PICHA NA MWANAKOMBO JUMAA WA MAELEZO
Mbunge wa Peramiho Jenista Mhagama akichangia na kuunga mkono hoja ya Mbunge wa Nzega Dkt,Hamis Kigwangala ya kuita Serikali ianzishe mpango maalumu wa kukuza ajira kwa vijana kwa kuanzisha Mfuko wa Mikopo ya Vijana wanaowekeza kwenye kilimo na viwanda venye uhusiano wa moja kwa moja na kilimo, (Feb,1,2013 Dodoma).
Mussa Zungu Azzan (ILALA) na Mbunge wa Mafia Abdulkarim Shah (kulia) wakibadilishana mawazo ndani ya ukumbi wa Bunge Dodoma.
Makatibu wa Bunge wakifuatilia hoja mbalimbali katika mkutano wa kumi Bungeni – Dodoma.
Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi akichangia hoja katika Bunge- Dodoma.
Wabunge kuanzia (kulia) Hezekiah Chibulunje (Chilonwa),Said Arfi (Mpanda Mjini) na Mohamed Missanga ( Singida Magharibi)wakisikiliza maelezo kuhusu huduma mbalimbali zitolewazo na benki ya NMB nchini kutoka kwa Meneja mikopo wa NMB, Susan Shuma(kushoto) katika maonyesho viwanja vya Bunge – Dodoma.
Mwingulu Nchemba( Iramba Magharibi) wakizungungumza hoja mbalimbali na Ismail Rage (kulia) katika viwanja vya Bunge- Dodoma jana.
Wabunge kutoka Charles Mwijage(Muleba Kaskazini) kushoto, Richard Ndassa (Sumve) kulia. Na David Kafulila (katikati) Kigoma Kaskazini wakibadilishana hoja mbalimbali za Bunge – Dodoma (jana)
Naibu Waziri wa Fedha Janet Mbene (kulia), Mwingulu Nchemba (katikati) , na Vick Kamata (Viti Maalumu ) kushoto, wakiwa katika picha ya pamoja Bungeni – Dodoma , Feb,1,2