BALOZI WA NIGERIA ARIDHISHWA NA MAENDELEO YA MRADI WA UJENZI WA KIWANDA CHA SEMENTI CHA DENGOTE MTWARA.


Balozi wa Naigeria hapa nchini Dr Ishaya Majanbu akiwa katika soko la Mtwara akiangalia mchele bidha mbalimbali zinazo patikana katika soko hilo wafanya biashara wasoko hilo walipata muda wa kumsomea tarifa yao ya kumuomba amfikishie mkrugenzi mkuu wa Dangote ili aweze kuwasidia kulifanya soko hilo liwe la kisasa.

Balozi akiwa katika picha ya pamoja na wafanya biashara wa soko la Mtwara.

balozi wa Naigeria hapa nchini Dr. Ishaya Majanbu (mweye kofia nyekundu) akiwa anapata maelezo kutoka kwa meneja wa mradi wa ujenzi wa Dangote Sementi Mkoani Mtwara Eng. D Musale  ya kuhusu maendeleo ya ujenzi wa kiwanda cha Semeti cha Dangote kinachojengwa Mkoani Mtwara Balozi huyo ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa mradi huo alipotembelea mkoani Mtwara.(Picha na Chris Mfinanga).

Balozi akiwa ana angalia badhi ya vifaa vinavyotumika katika mradi wa ujenzi wa kiwanda hicho cha sementi kinachojengwa na kampuni ya Dangote.

 

Previous Post Next Post

Popular Items

Kenya katika hatari ya kupata Ebola

Picha: Soggy Doggy Aongeza Familia