AIRTEL YATANGAZA WASHINDI WA AMKA MILIONEA


 Meneja uhusiano wa Airtel BwJackson Mmbando akitangaza washindi wa promosheni ya Amka millionea kwa mwenzi wa Februari ambapo wateja 40 wameamka mamilionea, kulia ni Afisa uhusiano wa Airtel Bi. Jane Matinde
  Meneja uhusiano wa Airtel Bwana Jackson Mmbando akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa promosheni ya Amka millionea mara baada ya kujaza fomu za uhakiki wa ushindi wa promosheni hiyo.
Previous Post Next Post