Mangula akizungumza na Wazee wa CCM kutoka mkoa wa Singida, waliofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,Lumumba Dar es Salaam, kumpa ujumbe maalum wa kuimarisha chama. Kushoto ni Mzee Sumbu Galawa na kulia ni Alhaj Mahami Rajabu Kundya na Mujengi Gwao. (Picha zote na Bashir Nkoromo, Uenezi-CCM)
